Wao Wanamwaga Sumu. Mie Nakupatia Chakula Cha Ubongo: Vitabu Vitano Vya Bure

 

Wanaponiita mtu hatari wala hawakosei. Ni hatari kweli when it comes to jitihada za ksambaza uelewa. Ni hatari dhidi ya ujinga. Ni hatari dhidi ya kasumba ya “ukitaka kumficha kitu Mswahili basi kiweke kwenye kitabu.” Lakini pia mie ni mtu hatari kimkakati: wao wanamwaga sumu dhidi yangu, mie nasambaza elimu ya bure kwa kila mtu ikiwa ni pamoja na hao vichwapanzi. Ni wazi hapo kuna mshindi mmoja tu: MTU…MTU HATARI (In James Bond’s Voice)

ILI KUPAKUA KITABU HUSIKA, BONYEZA KWENYE PICHA YA KITABU HUSIKA.

 

Please follow and like us:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *